Wednesday 29th, January 2025
@Halmashauri ya Mji Nzega
Mbio za Mwenge wa Uhuru zitafanyika katika Halmashauri ya Mji wa Nzega tarehe 18/07/2017.
Mwenge wa Uhuru utapokelewa ukitokea Wilaya ya Igunga katika eneo la stand Mpya ambapo kutoka pale utapita kuzindua miradi mbalimbali katika Halmashauri ya Mji wa Nzega na hatimaye utakesha katika viwanja vya Parking na asubuhi yake kukabidhi katika Manispaa ya Tabora.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017