HUDUMA ZINAZOTOLEWA;
HUDUMA YA VVU NA UKIMWI.
Huduma za VVU na UKIMWI katika Halmashauri ya mji Nzega zinatolewa kwa utawandawazi wa hali ya juu sana, hali ya maambukizi kwa sasa ni 3 .1% na huduma znaendelea kutolewa kwa bidii ili kupunguza maambukizi ya UKIMWI.Huduma na shughuli zifuatazo zinatolewa :
Elimu ya Afya juu ya kijikinga na maambukizi inatolewa katika vituo vya kutolea huduma.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017