• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
NZEGA TOWN COUNCIL
NZEGA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Nzega

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Origin
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa Eneo Husika
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Madiwani
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Takwimu, Usimamizi na Ufuatiliji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma Mbalimbali
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha wa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kukutana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Ukaguzi wa Ndani

Uwepo wa kitengo cha ukaguzi wa ndani na majukumu yake yanaelezwa katika  kifungu na. 48 cha sheri ya fedha ya serikali za mitaa ikisomwa pamoja na sheria ya memoranda ya fedha ya serikali za mitaa ya mwaka 2009 kifungu cha 13(1-2)

Kazi za kitengo cha ukaguzi,

Kitengo cha ukaguzi wa ndani kinafanya kazi za ukaguzi kama inavyoelezwa na sheria ya memoranda ya fedha ya serikali za mitaa ya mwaka 2009, kifungu na 14(1-10).

  • Kushirikiana na afisa masuhuri kuandaa mpango wa mwaka wa ukaguzi wa kitengo cha ukaguzi na nakala kuituma kwa mkaguzi mkuu na mdhibiti wa hesabu za serikali(CAG),Wizara husika ya serikari za mitaa na ofisi ya mkuu wa mkoa(RC)
  • Kuandaa mpango wa ukaguzi wa mwaka  kulingana na viatarishi (Annual risk based internal audit plan) na kuwasilisha katika kamati ya ukaguzi na afisa masuhuli ili kuhidhinishwa.
  • Kufanya ukaguzi na uchunguzi
  • Kutunza taarifa za ukaguzi zilizokwisha wasilishwa sehemu mbalimbali.
  • Kuandaa na kuwasilisha taarifa afisa masuhuli na kamati ya fedha.
  • kufanya ukaguzi wa thamani ya fedha katika miradi mbali mbali ya serikali.

Malengo Makuu ya Kitengo,

  • Kuhakikisha kuwa kunakuwa na mfumo madhubuti wa uthibiti wa ndani
  • Kuwezesha utawala bora unakuwepo kwenye taasisi
  • Kuhakikisha kuwa miongozo,kanuni,sheria na taratibu za fedha na mambo ya kiutawala yanafuatwa katika shughuli za kila siku
  • Kuhakikisha kuwa thamani halisi ya fedha inakuwepo katika manunuzi au ujenzi wowote unaofanyika.
  • Huduma za ukimwi kuboreshwa na maambukizi mapya kupungua
  • Uboreshaji ,uendelezaji na utekelezaji kikamilifu mpango wa taifa wa kupambana na rushwa.

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA October 01, 2019
  • KOROSHO- ZAO LA KIMKAKATI July 23, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA MJI NZEGA December 16, 2022
  • Onesha Yote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA INEC WAASWA KUWA WAADILIFU

    April 29, 2025
  • MKURUGENZI WA MJI WA NZEGA ANAWATAKIA WATUMISHI WOTE NA WAKAZI WA MJI WA NZEGA SIKUKUU NJEMA YA PASAKA

    April 20, 2025
  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA PATA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS

    April 17, 2025
  • MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA IRANI ASILIMIA 100%

    April 16, 2025
  • Onesha Yote

Video

JARIDA KITUO CHA AFYA ZOGOLO & BULUNDE SEKONDARI
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Matukio
  • Matangazo
  • Zabuni

Kurasa zinazofanana

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tabora RS
  • TAMISEMI
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)

    Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA

    Simu ya Mezani: +255677003373

    Simu ya Mkononi: +255677003373

    Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017