KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA IMEFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI
Kamati ya fedha na utawala ya Halmashauri ya Mji Nzega ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Pasikali Kigalu imefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi miwili ya maendeleao miradi hiyo ni ujenzi wa Shule mpya ya msingi katika kata ya Nzega Mjini Magharibi na ujenzi wa nyumba ya mkurugenzi na Wakuu wa idara kwenye eneo la ipazi .
tukio hili limefanyika leo Tarehe 2 februari ,2026 ambapo kamati hii ya fedha huwa na tabia ya kutembelea miradi mbali mbali inayo tekelezwa kwenye Halmashauri ili kujionea mienendo yake na kubaini changamoto zinazo jitokeza wakati wauteleza
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017