Wataalamu na madiwani wakiwa katika ukumbi wa halmashauri ya jiji la Tanga wakipata maelezo baada yakufanya ziara ya mafunzo ya namna ya kuongeza mapato na namna ya kubuni miradi