• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
NZEGA TOWN COUNCIL
NZEGA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Nzega

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Origin
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa Eneo Husika
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Madiwani
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Takwimu, Usimamizi na Ufuatiliji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma Mbalimbali
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha wa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kukutana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

LENGO LA HALMASHAURI NI MFIKE NGAZI YA KITAIFA

Tarehe Iliyowekwa: May 16th, 2018

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nzega amewataka vijana kuwa na uzalendo, kucheza kwa kujituma na kwa moyo wote huku wakijua kuwa wanawakilisha Halmashauri ya Mji Nzega katika mashindano hayo.”Lengo la Halmashauri ni kuwaona mkifika katika ngazi ya Kiataifa na siyo kuishia katika ngazi ya Chini.” Alisema Mkurugenzi

Aliyaesma hayo leo alipokuwa anafungua mashindano ya  michezo ya UMISETA  kwa mwaka 2018  yanayofanyika katika viwanja  vya polisi huku  ikiwa imehdhuriwa na wanamichezo zaidi ya 360,Walimu wapatao 50 na mashabiki wasiopungua 600.

Aliongeza kuwa Halmashauri iko bega kwa bega nao kuhakikisha kuwa mashindano yatafanyika katika ngazi zote kama ilivyo lengo la Serikali licha ya changamoto za hapa na pale.Alisisitiza kuona changamoto kama ni sehemu ya fursa.

“Ndani ya miaka hii mitatu tumefanikiwa kwenda mbali sana,tumeshruki michezo mingi,tumeweza kupata tuzo mbalimbali,lakini kuna vijana wawili walishifika ngazi ya juu (nawapongeza sana) na mwaka huu nategemea mtaongezeka zaidi ya hao wawili”.Alisema Mkurugenzi

Aidha amewapongeza viongozi wote walioshiriki kuandaa mashindano hayo hadi kufikia hatua hiyo ambao ni Afisa Elimu Sekondari (Tabu Makanga), Meneja wa mashindano(Hamdani Shemzigwa), Mratibu wa mashindano(Singeli Mpemba) pamoja na Walimu wote kwa moyo uzalendo wa kujitolea.

Awali akimkaribisha mgeni rasmi Afisa Elimu Sekondari aliwaasa wanamichezo kuwa na nidhamu ya hali ya juu na kujituma ili waweze kufika mbali.

Mashindano hayo yanafanyika katika klasta 3 zilizogawanywa ili kurahisisha mchakato wa upatikanaji wa timu ya Halmashauri.

Michezo inayoshindanishwa ni pamoja na  Mpira wa miguu wavulana na wasichana,mpira wa kikapu wavulana na wasichana,mpira wa wavu wavulana na wasichana,mpira wa mikono wavulana na wasichana,mpira wa pete kwa wasichana,mpira wa miguu maalum kwa wavulana,riadha maalum kwa wavulana na wasichana, riadha(mbio,mitupo na miruko), bao kwa wavulana na fani za ndani zikijumuisha kwaya,ngonjera,mashairi na ngoma za asili.

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA October 01, 2019
  • KOROSHO- ZAO LA KIMKAKATI July 23, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA MJI NZEGA December 16, 2022
  • Onesha Yote

Habari Mpya

  • WALIMU 184 AJIRA MPYA WAPATA MAFUNZO ELEKEZI

    July 09, 2025
  • KITUO CHA AFYA KITENGWE KIMEKUWA MKOMBOZI KWA WAKAZI WA KATA YA MWANZOLI NA MAENEO YA JIRANI

    July 03, 2025
  • WATUMISHI WA MJI WA NZEGA WAPATA MAFUNZO YA E-UTENDAJI

    June 27, 2025
  • MJI WA NZEGA WAPATA HATI SAFI

    June 19, 2025
  • Onesha Yote

Video

JARIDA KITUO CHA AFYA ZOGOLO & BULUNDE SEKONDARI
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Matukio
  • Matangazo
  • Zabuni

Kurasa zinazofanana

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tabora RS
  • TAMISEMI
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)

    Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA

    Simu ya Mezani: +255677003373

    Simu ya Mkononi: +255677003373

    Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017