Hali ya Hewa
Wastani wa joto ni nyuzi 280C hadi 300C kiasi cha jotoridi huongezeka sana katika mwezi wa Oktoba kabla ya kuanza kwa mvua za vuli. Jotoridi hupungua katika kipindi cha mwezi Desemba hadi Mei. Halmashauri ya Mji hupokea mvua kwa wastani wa kati ya milimita 450 hadi 850.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017