1 Utawala na Utumishi
2 Hali ya watumishi kwa ujumla
Halmashauri ya Mji Nzega ina Idara 13 zenye jumla ya watumishi 862 ambao wanatoa huduma mbalimbali kwa wakazi wa mji wa Nzega ambazo ni:- Idara ya Utawala na rasilimaliwatu, Fedha na Biashara, Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji, Mipango Miji, Ardhi na Maliasili, Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika, Mifugo na Uvuvi, Ujenzi, Maji, Elimu Msingi, Elimu Sekondari, Afya, Usafi na mazingira na Maendeleo ya Jamii,. Pia ina vitengo 6 ambavyo ni Ugavi, Ukaguzi wa ndani, Sheria, Uchaguzi, Ufugaji Nyuki na Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano.
Tarafa |
Kata |
Vijiji |
Vitongoji |
Mitaa |
Nyasa
|
Nzega Mjini Mashariki
|
- |
- |
6 |
Nzega Mjini Magharibi
|
- |
- |
8 |
|
Nzega ndogo
|
2 |
22 |
|
|
Miguwa
|
2 |
22 |
|
|
Mwanzoli
|
3 |
20 |
|
|
Kitangili
|
3 |
17 |
|
|
Mbogwe
|
2 |
29 |
|
|
Ijanija
|
3 |
24 |
|
|
Uchama
|
3 |
26 |
|
|
Itilo
|
3 |
14 |
|
|
Total
|
10
|
21 |
174 |
14 |
IDADI YA WATUMISHI HALMASHAURI YA MJI NZEGA 2015/2016
NA.
|
IDARA
|
IDADI YA WATUMISHI WALIOPO
|
|
Idara ya Utawala na Rasilimali watu
|
54
|
|
Idara ya Elimu Msingi
|
536
|
|
Idara ya Elimu Sekondari
|
146
|
|
Idara ya Afya
|
45
|
|
Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
|
19
|
|
Idara ya Mifugo na Uvuvi
|
11
|
|
Idara ya Fedha na Biashara
|
8
|
|
Idara ya Ujenzi
|
12
|
|
Idara ya Maji
|
5
|
|
Idara ya Maendeleo ya Jamii
|
7
|
|
Idara ya Mipango, Takwimu na U
fuatiliaji |
3
|
|
Idara ya Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
|
6
|
|
Idara ya Usafi na Mazingira
|
3
|
|
Kitengo cha ugavi
|
3
|
|
Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
|
1
|
|
Kitengo cha TEHAMA
|
2
|
|
JUMLA
|
864
|
Ratiba ya vikao vya Baraza na kamati za kudumu 2016.2017.doc
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017