MALENGO MAKUU YA KITENGO
KAZI ZA KITENGO
Usimamizi Wa Mifumo Ya Kompyuta(System Administration) eneo hili linashughulikia usimamizi na uendeshaji wa mifumo yote ya kompyuta katika Halmashauri.Mifumo hiyo ni pamoja na:
Mfumo wa Mapato- LGRCIS
Mfumo wa LAWSON
Mfumo wa BEMIS
Mfumo wa PREM
Mfumo wa SIS
Mfumo wa PLANREP
Mfumo wa Mahudhurio ya Wafanyakazi (Attendance Registration)
2. Usimamizi Wa Mtandao Wa Kompyuta Pamoja Na Vifaa Vyake (Network And Hardware Adminstration).
3. Usimamizi Wa Benki Ya Takwimu(Database Administration)
4. Usimamizi wa tovuti na barua pepe (website administration & emails).
5. Kuweka mahusiano bora baina ya Halmashauri pamoja na Umma na wadau mbalimbali pamoja na kutoa elimu kwa Umma.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017