• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
NZEGA TOWN COUNCIL
NZEGA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Nzega

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Origin
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa Eneo Husika
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Madiwani
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Takwimu, Usimamizi na Ufuatiliji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma Mbalimbali
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha wa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kukutana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Uchaguzi

Halmashauri (Council)
Mji Nzega (Nzega Town Council)
Kitengo (Unit)
Uchaguzi (Election)
Majukumu
  • Kusimamia na kuratibu Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani katika ngazi ya Halmashauri kwa kuzingatia kanuni, taratibu na miongozo kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
  • Kusimamia na kuratibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika maeneo yote ya Halmashauri ya Mji Nzega kwa Kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo ya Uchaguzi kutoka OR-TAMISEMI.
  • Kusimamia na kuratibu Chaguzi zote ndogo mara inapotokea Wabunge na Madiwani na wa serikali za mitaa katika ngazi ya Halmashauri kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo ya Uchaguzi.
Kazi 
 
  1. Kutangaza, kuratibu, kusimamia na kufuatili kampeni zote za uchaguzi katika ngazi ya Halmashauri; 
  2. Kusimamia na kuratibu uandikishaji wa Wapiga Kura katika ngazi ya Halmashauri;
  3.  Kuandaa, kuratibu na kusimamia maandalizi ya vituo vya kupigia kura na kuhakikisha uwepo wa mahitaji yote yanayohitajika katika vituo vya kupigia kura;
  4. Kuandaa na kuwasilisha taarifa za mienendo ya Uchaguzi katika maeneo husika ( Tume ya Taifa ya Uchaguzi, OR – TAMISEMI);
  5. Kuratibu uteuzi na mafunzo kwa watendaji wa Uchaguzi katika ngazi ya Jimbo na Kata kwa kuzingatia kanuni, taratibu na miongozo kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi;
  6. Kusaidia katika uandaaji wa Bajeti za Uchaguzi na rasilimali zingine katika Jimbo la Uchaguzi;
  7. Kuratibu na kusimamia Uchaguzi mdogo wa Wabunge na Madiwani katika ngazi ya Jimbo kuzingatia kanuni, taratibu na miongozo kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi;
  8.  Kupokea na kuhakiki fomu za uteuzi wa Wagombea na kuandaa Karatasi za kupigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na Kusaidia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhakiki na kuandaa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi mkuu wa Bunge na Madiwani; 
  9. Kuhakikisha uwepo wa vifaa vya uchaguzi katika vituo vya kupigia kura kwa wakati.

Maeneo ya Usimamizi

NA

MAELEZO
IDADI

1.

Jimbo la Uchaguzi
1

2.

Kata
10

3.

Mitaa
14

4.

Vijiji
21

5.

Vitongoji
174

  1. Jimbo la Uchaguzi;
NA
MAELEZO
IDADI
JINA
1.
Jimbo la Uchaguzi
1
Jimbo la Nzega Mjini ( Nzega Urban Constituency)

Kata;

NA
HALMASHAURI
IDADI
MAJINA
1.
Mji Nzega
10
Ijanija, Itilo, Kitangili, Mbogwe, Miguwa, Mwanzoli, Nzega Mjini Magharibi, Nzega Mjini Mashariki, Nzega Ndogo na Uchama

Mitaa;

NA
KATA
IDADI
MAJINA
1.
Nzega Mjini Magharibi
6
Humbi,  Utemini,  Majengo,  Ushirika,  Mbugani na  Ipilili
2.
Nzega Mjini Mashariki
8
Uswilu,  Mwaisela,  Ntinginya, Musoma,  Nyasa, Maporomoko,  Uwanja wa Ndege na Kitongo

JUMLA
14

Vijiji; 

Halmashauri (Council)
Mji Nzega (Nzega Town Council)
Kitengo (Unit)
Uchaguzi (Election)
      Majukumu
  • Kusimamia na kuratibu Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani katika ngazi ya Halmashauri kwa kuzingatia kanuni, taratibu na miongozo kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
  • Kusimamia na kuratibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika maeneo yote ya Halmashauri ya Mji Nzega kwa Kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo ya Uchaguzi kutoka OR-TAMISEMI.
  • Kusimamia na kuratibu Chaguzi zote ndogo mara inapotokea Wabunge na Madiwani na wa serikali za mitaa katika ngazi ya Halmashauri kwa kuzingatia kanuni, taratibu na Miongozo ya Uchaguzi.

   Kazi 

  1. Kutangaza, kuratibu, kusimamia na kufuatili kampeni zote za uchaguzi katika ngazi ya Halmashauri; 
  2.  Kusimamia na kuratibu uandikishaji wa Wapiga Kura katika ngazi ya Halmashauri;
  3. Kuandaa, kuratibu na kusimamia maandalizi ya vituo vya kupigia kura na kuhakikisha uwepo wa mahitaji yote yanayohitajika katika vituo vya kupigia kura;
  4. Kuandaa na kuwasilisha taarifa za mienendo ya Uchaguzi katika maeneo husika ( Tume ya Taifa ya Uchaguzi, OR – TAMISEMI);
  5.  Kuratibu uteuzi na mafunzo kwa watendaji wa Uchaguzi katika ngazi ya Jimbo na Kata kwa kuzingatia kanuni, taratibu na miongozo kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi;
  6. Kusaidia katika uandaaji wa Bajeti za Uchaguzi na rasilimali zingine katika Jimbo la Uchaguzi;
  7. Kuratibu na kusimamia Uchaguzi mdogo wa Wabunge na Madiwani katika ngazi ya Jimbo kuzingatia kanuni, taratibu na miongozo kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi;
  8. Kupokea na kuhakiki fomu za uteuzi wa Wagombea na kuandaa Karatasi za kupigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na Kusaidia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhakiki na kuandaa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi mkuu wa Bunge na Madiwani; na
  9. Kuhakikisha uwepo wa vifaa vya uchaguzi katika vituo vya kupigia kura kwa wakati.

Maeneo ya Usimamizi

NA

MAELEZO
IDADI

1.

Jimbo la Uchaguzi
1

2.

Kata
10

3.

Mitaa
14

4.

Vijiji
21

5.

Vitongoji
174

Jimbo la Uchaguzi;

NA
MAELEZO
IDADI
JINA
1.
Jimbo la Uchaguzi
1
Jimbo la Nzega Mjini ( Nzega Urban Constituency)

Kata;

NA
HALMASHAURI
IDADI
MAJINA
1.
Mji Nzega
10
Ijanija, Itilo, Kitangili, Mbogwe, Miguwa, Mwanzoli, Nzega Mjini Magharibi, Nzega Mjini Mashariki, Nzega Ndogo na Uchama

Mitaa;

NA
KATA
IDADI
MAJINA
1.
Nzega Mjini Magharibi
6
Humbi,  Utemini,  Majengo,  Ushirika,  Mbugani na  Ipilili
2.
Nzega Mjini Mashariki
8
Uswilu,  Mwaisela,  Ntinginya, Musoma,  Nyasa, Maporomoko,  Uwanja wa Ndege na Kitongo

JUMLA
14

Vijiji; 

NA
KATA

IDADI

MAJINA
1.
Kitangili

3

Kitangili , Igilali na  Budushi
2.
Ijanija

3

Ijanija , Butandula na Makomelo
3.
Uchama

3

Uchama,  Idala na  Undomo
4.
Itilo

3

Itilo,  Tazengwa na Silimuka
5.
Mbogwe

2

Mbogwe na Nhobola
6.
Miguwa

2

Miguwa na Iduguta
7.
Mwanzoli

3

Mwanzoli,  Kitengwe na Idudumo
8.
Nzega Ndogo

2

Zogolo na Iyuki

JUMLA

21

NA
KATA

IDADI

MAJINA
1.
Kitangili

3

Kitangili , Igilali na  Budushi
2.
Ijanija

3

Ijanija , Butandula na Makomelo
3.
Uchama

3

Uchama,  Idala na  Undomo
4.
Itilo

3

Itilo,  Tazengwa na Silimuka
5.
Mbogwe

2

Mbogwe na Nhobola
6.
Miguwa

2

Miguwa na Iduguta
7.
Mwanzoli

3

Mwanzoli,  Kitengwe na Idudumo
8.
Nzega Ndogo

2

Zogolo na Iyuki

JUMLA

21

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA October 01, 2019
  • KOROSHO- ZAO LA KIMKAKATI July 23, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA MJI NZEGA December 16, 2022
  • Onesha Yote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA INEC WAASWA KUWA WAADILIFU

    April 29, 2025
  • MKURUGENZI WA MJI WA NZEGA ANAWATAKIA WATUMISHI WOTE NA WAKAZI WA MJI WA NZEGA SIKUKUU NJEMA YA PASAKA

    April 20, 2025
  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WA PATA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS

    April 17, 2025
  • MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA IRANI ASILIMIA 100%

    April 16, 2025
  • Onesha Yote

Video

JARIDA KITUO CHA AFYA ZOGOLO & BULUNDE SEKONDARI
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Matukio
  • Matangazo
  • Zabuni

Kurasa zinazofanana

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tabora RS
  • TAMISEMI
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)

    Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA

    Simu ya Mezani: +255677003373

    Simu ya Mkononi: +255677003373

    Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

    • Sera Binafsi
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017