MIRADI INAYOENDELEA KWA MWAKA 2017/2018 ELIMU SEKONDARI
Kuna miradi ya ujenzi wa miundombinu ambayo bado inaendelea kujengwa katika shule za sekondari.
Mchanganuo ni kama ifuatavyo:-
MIRADI INAYOENDLEA KWA MWAKA 2018/2019
"Gharama halisi ya kujenga Stendi hiyo hadi kukamilika kwa kiwango cha juu kulingana na michoro ya ubunifu zinahitajika bilioni 7.7 ambapo kwa kutumia mapato ya Halmashauri ya ndani itachukua miaka 10 ili kukamilisha ujenzi wake" Ni kauli ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nzega Ndg.Philemon Magesa wakati wa uzinduzi wa STAND MPYA YA MABASI.Mradi huu unaendelea pamoja na kuwa umeanza kutumika.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017