Baraza la wafanyakazi halmashuari ya mji Nzega likiongozwa na Ndg .Shomary Salimu Mndolwa ambae ni mkurugenzi wa halmashauri ya mji nzega kujadili mambo mbalimbali ya liyopo kwenye rasimu ya ya mwaka 2024/2025
Katika kikao hicho wajumbe mbalimbali kutoka vyama vya wafanyakazi na baadhi ya wakuu wa idara na vitengo wametoa
maoni yao kwenye rasimu hiyo na wote kwa pamoja wakakubaliana juu ya rasimu
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017