DC NAITAPWAKI TUKAE AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU KWA MADIWANI
Mafunzo ya kuwa jengea uwezo madiwani wa Halmashauri ya Mji Nzega na Halmashauri ya Wilaya ya Nzega yana fanyika leo tarehe 19 Januari 2026 kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega uliopo eneo la Ipazi .
Afungua mafunzo hayo Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mhe.Naitapwaki Tukae amewasisitiza madiwani hao kutumia fursa hiyo kusikiliza kwa makini ili mafunzo hayo yakalete tija katika kutekeleza majukumu yao .
Mafunzo hayo yanafanyika kwasiku tatu kuanzia leo tarehe 19 januari mpaka tarehe 21 yakapo hitimishwa rasmi .