Ujenzi wa Bwalo Shule ya Sekondari Bulunde iliyopo Nzega Mjini umefikia asilimia 90 ambapo jumla ya fedha Tsh.milioni 94 zinatumika katika ujenzi huo ni fedha kutoka serikali kuu
Bwalo hili likikamilika litakuwa nauwezo wa kuhifadhi Wananfunzi 400 kwa wakati mmoja
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017