Halmshauri ya Mji wa Nzega imepokea Watumishi 55 Ajira mpya kutoka kada mbali mbali ,ambapo Walimu wa Sekondari 20, Maafisa wauguzi wasaidizi 19,wasaidizi wa Afya 8,Tabibu msaidizi 3 ,fundi sanifu ujenzi 1 pamoja na Mfamasia 1 .
kuja kwa Watumishi hawa kutaongeza chachu ya utendaji kazi katika vituo vya kazi
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017