Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Nzega na Halmashauri ya Wilaya ya Nzega wakiendelea na Mafunzo ya kuwa jengea uwezo ikiwa nisiku ya pili ya mafunzo, ambapo mafunzo hayo yanafanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega uliopo eneo la Ipazi
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017