Madiwani na wataalamu wa mji wanzega wakika katika ukumbi wa halmashauri ya jiji la Tanga baada ya kufanya ziara ya kujifunza ya namna ya kuongeza mapato ya ndani na namna ya kumbuni miradi mbalimbali .ziara hiyo imeogozwa na mwenyekiti wa halmashauri ya mji Nzega mhe.Bi.Berbela makono na Mkurugenzi wa mji Ndg.Shomari salm Mdolwa
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017