Idara ya Maendeleo ya Jamii imeendasha mafunzo ya Ujasiriamali kwa Wajasiriamali katika ukumbi wa Community Centre .Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo Wajasiriamali ili waweze kuendesha shughuli zao kwa ufanisi zaidi na kujipatia kipato cha juu.Mkuu wa Idara ya Maendeleo Bwana Godson Harry akiwasilisha mada kwa Wajasiriamali hao.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017