Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mhe.Naitapwaki Tukai ameongoza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya nzega kukagua miradi itakayo pitiwa na Mwenge wa huru mwaka huu wa 2025 mwezi Agosti
Tukio hilo limefanyika siku ya juma tano ya tarehe 4 june ,2025 ambapo jumla ya miradi 6 ilitembelewa na kukaguliwa na Mhe.Naitapwaki Tukai Mkuu wa Wilaya ya Nzega .
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kufika Mji wa Nzega mnamo tarehe 1 Agosti,2025
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017