Mwenge wa Uhuru utakuwepo katika Halmashauri ya Mji wa Nzega mnao taree 27/08/2019 .Pamoja na kukimbizwa ndani ya Halmashauri kwa takriban km 28 Mwenge wa Uhuru utapitia jumla ya miradi minne (4) ambayo ni:
Mwenge wa Uhuru utapokelewa katika eneo la Shule ya Msingi Miguwa ukitokea katika Halmashauri ya Wilaya ya Igunga.Utakesha katika viwanja vya stendi ya zamani na baadaye kukabidhiwa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega katika eneo na Nata
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017