Naibu Waziri TAMISEMI akiwa katika Halmashauri ya Mji Nzega amezungumza na watumishi wa Halmashauri ya Mji pamoja na wa Halmashuri ya Wilaya ya Nzega huku akisisitiza uwajibikaji katika kazi kwa kuwahudumia Wananchi ipasavyo.Baadae akiongozana na Mkurugenzi wa Halamshuri ya Mji Nzega pamoja na Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini alitembelea miradi mbalimbali ikiwemo ya ujenzi wa Shule ya Wasichana Mwanzoli,upanuzi wa kituo cha Afya cha Zogolo kuwa Hospitali pamoja na ujenzi wa Shule ya Bulunde kwa darasa la kidato cha Tano na Sita ambalo limeshaanza.Vilivile alipata nafasi ya kuongea na wafanyabiashara wa Halmashauri ya Mji Nzega.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017