mafunzo haya yamefanyika kwa Maafisa TEHAMA na Wahasibu wa Mapato toka katika Halmashauri Mbalimbali likiwa ni kundi la kwanza la mafunzo.
Lengo la mafunzo haya ni pamoja na
Kuwa na uelewa wa pamoja katika utumiaji na simamaizi wa mashine za Pos.
Kuoundoa changamoto katika utengenezaji wa bill za makusanyo wa mapato ya POS.
Kutambua majukumu ya kila mtumiaji wa mfumo wa mapato.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017