Halmashauri ya Mji Nzega imepata jumla ya Tshs 500,000,000 kwajili ya uendelazaji wa ujenzi wa Kituo cha Afya Zogolo.Ujenzi huu utaanza hivi karibuni kwani mafundi wameshajaza mikataba tayari kwa ujenzi.Ujenzi huo ni pamoja na Chumba cha upasuaji,nyumba ya Mganga Mkuu na chumba cha akina mama kujifungua.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017