Ujenzi wa Mabweni mawili shule ya sekondari Bulunde iliyopo nzega mjini umefikia asilimia 96 kila bweni limetumia Tsh.136 ambazo ni fedha kutoka serikali kuu .
Mabweni haya yakikamilika yanauwezo wa kuhifadhi Wanafunzi 80 kwa wakati mmoja
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017