Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali kata ya Ijanija Halmashauri ya Mji wa Nzega umefikia asilimia 95 ambapo jumla ya mjengo 15 yamejengwa Mayala Masunga (65) mkazi wa kata ya Ijanija amesema anaona kama ndoto kuona majengo mengi yamejengwa kwa wakati mmoja bila hata ya Wananchi kuchangishwa na anaona kesho ya wajukuu zake itakuwa nzuri kwakua watapata elimu ya sekondari na kupata masomo ya ufundi ambayo yatawafanya kujiajili na kujitegemea hivyo na ishukuru sanaa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani bila kumsahau Mbuge wetu Mhe.Hussein Bashe nae kapambana sanaa juu yetu wananchi wa Nzega alisema Shule hii ya Sekondari ikikamilika itakuwa Shule ya kwanza ya amali kwa Mji wa Nzega
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017