Katibu Tawala Mkoa akiwa ameambatana na wataalam wengine kutoka katika Ofisi ya Sekretariet ya Mkoa leo tarehe 28.03.2018 wamekagua jumla ya miradi mine (4) pamoja na njia itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru wa Mwenge.
Kamati hiyo imeambatana na kamati ya ukaguzi wa njia ya Mwenge Wilaya pamoja na baadhi ya wakuu wa Idara.
Pamoja na ukaguzi,kamati pia imetoa maoni ya kitaalam juu ya miradi hiyo.
Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Halmashauri ya Mji tarehe 28.04.2018 na kupitia takribani miradi mine (4)
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017