VETA HIYOO KARIBU KUKAMILIKA
Ujenzi wa chuo cha VETA Halmashauri ya Mji wa Nzega kwa sasa umefikia asilimia 60 upo katika hatua ya upauaji ,chuo hiki chenye majengo 9 kikikamilika kitakuwa kinafundisha upishi na ushonaji ,ufundi wa uwashi na uselemala Pamoja na ufundi wa umeme na bomba
Hivyo kitaweza kuongeza ajira kwenye Mji wa Nzega kwakua vijana wengi watapata ujuzi kutoka kwenye chuo hichi
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017