Kilimo ni uti uti wa mgongo.Bila kilimo hakuna viwanda.Bila kilimo hakuna kula.Kilimo ndio biashara.Kilimo ndio maisha.Picha ikionyesha palizi wa shamba la pamba kwa kutumia maksai katika kijiji cha Butandula kilichopo Halmashauri ya Mji Nzega.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017