Ujenzi wa standi mpya ya mabasi katika eneo la Sagara, Standi hii inatarajiwa kutumika kwa mabasi ya endayo mikoani na ndani ya mji wa Nzega
Mojawapo ya magari ya wagonjwa mahututi lililotolewa Serikali kwa ajili ya kubebea wagonjwa katika Halmashauri ya Mji Nzega
Ujenzi wa jengo la zahanati ya Mtaa wa Ipilili ukiwa umefikia asilimia 65 ya ujenzi huo. zahanati hiyo itakapokamilika inategemewa kuhudumia wakazi wa mtaa wa Ipilili na mitaa ya jirani.
Watumishi wa halmashauri ya mji Nzega wakiwa katika kikao cha kupambana na zuia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Zahanati ya kata ya Itilo iyojengwa kupitia mapato ya ndani tayari imesha kamilika naimeanza kutumika toka desemba 2023 huku ikiwapunguzia wananchi kutembea umbali wa kilometa 2 kufata huduma ya matibabu.
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017