• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
NZEGA TOWN COUNCIL
NZEGA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Nzega

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Origin
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa Eneo Husika
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Madiwani
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Takwimu, Usimamizi na Ufuatiliji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma Mbalimbali
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha wa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kukutana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Origin

Chimbuko/asili

Utangulizi 

Halmashauri ya mji wa Nzega ni Sehemu ya Wilaya ya Nzega Mkoa wa Tabora na ilianzishwa mwaka 2014.Halmashauri ya Mji wa Nzega ni mojawapo ya Halmashauri 8 za Mkoa wa Tabora, ambazo ni Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, Manispaa ya Tabora, Urambo, Kaliua, Sikonge, Uyui, na Igunga.  

Wakazi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega ni mchanganyiko wa makabila mbalimbali ambayo ni wasukuma, wanyamwezi, waha na wanyiramba. Kabila ambalo ni wenyeji wa Halmashauri hii ni Wasukuma.  Nzega ilipanda kufikia hadhi ya kuwa mamlaka ya Mji mdogo mwaka. Kasi ya kupanuka kwa Mji wa Nzega iliongezeka kidogo kidogo na ilipofika tarehe 12/9/2014 ikapanda hadhi na kuwa Halmashauri ya Mji. Kutokana na fursa mbalimbali   zilizopo kijiografia, kiuchumi na kimazingira, jitihada zinafanyika kupitia Halmashauri na Wadau mbalimbali kuendeleza Halmashauri ya Mji katika nyanja mbalimbali ili kufikia hadhi ya Manispaa siku za usoni.

            Mahali:

Halmashauri ya Mji  iko umbali wa Kilometa 116 kutoka Makao makuu ya mkoa wa Tabora.  Ipo kati ya    Latitudo 3°45¢  - 5°00¢  Kusini na Longitudo 32°30¢ - 33°30¢ Mashariki. Halmashauri ya Mji inapakana na Wilaya ya Igunga upande wa mashariki. Upande wa Kaskazini na kusini inapakana na Halmashauri ya Wilaya ya Nzega.  

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA October 01, 2019
  • KOROSHO- ZAO LA KIMKAKATI July 23, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA MJI NZEGA December 16, 2022
  • Onesha Yote

Habari Mpya

  • KITUO CHA AFYA KITENGWE KIMEKUWA MKOMBOZI KWA WAKAZI WA KATA YA MWANZOLI NA MAENEO YA JIRANI

    July 03, 2025
  • WATUMISHI WA MJI WA NZEGA WAPATA MAFUNZO YA E-UTENDAJI

    June 27, 2025
  • MJI WA NZEGA WAPATA HATI SAFI

    June 19, 2025
  • SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 16, 2025
  • Onesha Yote

Video

JARIDA KITUO CHA AFYA ZOGOLO & BULUNDE SEKONDARI
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Matukio
  • Matangazo
  • Zabuni

Kurasa zinazofanana

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tabora RS
  • TAMISEMI
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)

    Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA

    Simu ya Mezani: +255677003373

    Simu ya Mkononi: +255677003373

    Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017