Baraza la Madiwa wa Halmashauri ya Mji Nzega limeketi jana Tarehe 12 february ,2026 kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega uliopo eneo la Ipazi ,ambapo miongoni mwa ajenda zilizo jadiliwa nikupitia Rasimu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027
Hivyo Waheshimiwa Madiwani walilizia kupitisha Rasimu hiyo ya bajeti ya Tsh.bilioni 26.1 kwa mwaka wa fedha 2026/202
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017