CAMFED YA TOA MAFUNZO KWA KAMATI YA WILAYA (CDC)
Mafunzo ya kuijengea uwezo kamati ya wilaya ya CAMFED yamefanyika kwenye ukumbi wa shule ya sekondari Chief Ntinginya
Ambapo jumla ya wajumbe wasio pungua 19 wamehudhulia mafunzo hayo
mafunzo haya yameendeshwa kwa siku tatu yakianza siku ya Jumanne ya Tarehe 19 Agosti 2025na kuhitimishwa leo Tarehe 21 Agosti ,2025
Inaelezwa mafunzo haya yataleta tija kwa kamati ya wilaya CAMFED katika utendaji kazi wake
huu ni mwendelezo wa shirika la CAMFED kuwapa mafunzo wajumbe wake ili wajue kanuni nataratibu za shirika hilo
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017