• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
NZEGA TOWN COUNCIL
NZEGA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Nzega

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
      • Origin
      • Ukubwa wa Eneo
      • Watu wa Eneo Husika
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Madiwani
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Tasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Takwimu, Usimamizi na Ufuatiliji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Sheria
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio Vya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
  • Huduma Mbalimbali
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha wa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kukutana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Miongozo
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMPENI YA MAMA SAMIA YA MSAADA WA KISHERIA

Tarehe Iliyowekwa: January 27th, 2025

Wananchi wa Mji wa Nzega waendelea kunufaika na kampeni ya mama Samia ya msaada wa kisheria


Idadi kubwa ya wananchi wa Mji wa Nzega waendelea kujitokeza kupata elimu juu ya maswala ya kisheria

Zoezi hili limeanza siku ya jumamosi linafanyika kwenye mitaa na vijiji ambapo watalaamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria kwakushirikiana na Watalaamu wa Halmashauri ya Mji wa Nzega wanatoa elimu juu ya maswala ya ardhi,ndoa,miradhi na unyanyasaji wa kijinsia


Wakiwa katika Kijiji Cha Nhobola Bunela Nurdini miaka 67 mkazi wa Nhobola amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwakufanikisha zoezi hili kwakua yeye Kama yeye kapata Mambo mazuri yakisheria pia anaomba zoezi kama hili liwe endelevu


Kampeni hii inaendeshwa kwa siku kumi ambapo siku ya jumamosi inatalajiwa kuwa tamati wa zoezi

Matangazo

  • FOMU YA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA October 01, 2019
  • KOROSHO- ZAO LA KIMKAKATI July 23, 2020
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA HALMASHAURI YA MJI NZEGA December 16, 2022
  • Onesha Yote

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA HALMASHAURI YA MJI WA NZEGA YAPITISHA BAJETI YA 2026/2027

    February 10, 2026
  • GULAM HUSSEIN MWENYEKITI MPYA ALAT MKOA WA TABORA

    February 04, 2026
  • KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YA HALMASHAURI YA MJI NZEGA IMEFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI

    February 02, 2026
  • WAJUMBE WA CAMFED WILAYA YA NZEGA (CDC) WAKUTANA KUWAPITISHA WA ZABUNI WA KUNUNUA VIFAA VYA WANAFUNZI WA FADHILIWA

    February 01, 2026
  • Onesha Yote

Video

JARIDA KITUO CHA AFYA ZOGOLO & BULUNDE SEKONDARI
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • Matukio
  • Matangazo
  • Zabuni

Kurasa zinazofanana

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tabora RS
  • TAMISEMI
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana Nasi

    NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)

    Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA

    Simu ya Mezani: +255677003373

    Simu ya Mkononi: +255677003373

    Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Binafsi
    • Mlalamikaji
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017