Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mhe.Naitapwaki Tukai akiongoza kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Nzega kilicho fanyika kwenye ukumbi wa Halmashuari ya Mji wa Nzega uliopo Ipazi ,kwa pamoja Kikao kimeridhia rasimu ya Bajeti ya mwaka 2025/2026 yenye thamani y Tsh.bilion 24.4
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017