Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega Ndg.Shomary Mndolwa ameongoza mkutano wa baraza la Wafanyakazi lililo fanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega uliopo eneo la ipazi.
Tukio hilo limefanyika leo likihudhulia na wajumbe mbalimbali kutoka vyama vya wafanyakazi mkoa wa Tabora na ndani ya Halmashauri ya Mji wa Nzega
See translation
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017