MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO LA NZEGA MJINI AFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA
Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Nzega Mjini Bi.Joyce Emanuel amefanya kikao na viongozi wa vyama vya siasa leo tarehe 7 Agosti ,2025 kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega
lengo la kikao hicho nikuwaeleza mambo mbali mbali yanayo husu maandalizi ya Uchaguzi mkuu wa Rais ,Wabunge ,Madiwani utakao fanyika Octaba ,2025
katika kikao hicho viongozi zaidi ya kumi wameviwakilisha vyama vyao vya siasa
hili nimiongoni mwamatukio kuelekea Uchaguzi Mkuu
NZEGA TOWN COUNCIL (HALMASHAURI YA MJI NZEGA)
Sanduku la Barua: S.L.P 256 NZEGA-TABORA
Simu ya Mezani: +255677003373
Simu ya Mkononi: +255677003373
Barua Pepe: td@nzegatc.go.tz
Haki miliki zote zimehifadhiwa na nzegatc 2017