Tarehe Iliyowekwa: August 2nd, 2018
HALMASHAURI ya Mji wa Nzega imefanikiwa kuvuka lengo la makusanyo lilowekwa na Serikali Kuu ambapo kila Halmashauri inatakiwa kutopungua asilimia 80 ya makisio lakini Halmashauri imefikisha asilimia 9...
Tarehe Iliyowekwa: July 26th, 2018
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ndg. Philemon Magesa afungua kikao kazi cha siku moja kwa Walimu Wakuu wa Shule za Msingi na Sekondari,wakuu wa vituo vya Afya,wahasibu wa shule za msing,sekonda...