Tarehe Iliyowekwa: November 24th, 2017
mafunzo haya yamefanyika kwa Maafisa TEHAMA na Wahasibu wa Mapato toka katika Halmashauri Mbalimbali likiwa ni kundi la kwanza la mafunzo.
Lengo la mafunzo haya ni pamoja na
Kuwa na uelewa...
Tarehe Iliyowekwa: November 14th, 2017
Halmashuri ya Mji Nzega imefanya zoezi la unyunyuziaji wa viuatilifu katika maeneo yote yenye kusababisha uzalishaji wa mbu waenezao maleria ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe.Rais wa Jamhuri wa Muu...
Tarehe Iliyowekwa: November 6th, 2017
Baraza la Madiwani Halmashuri ya Mji Nzega limewapongeza Walimu Wakuu Msingi na Maafisa Elimu Kata kwa jitihada zao kubwa katika kuwezesha Halmashuri kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la Saba kw...