Tarehe Iliyowekwa: October 17th, 2017
Halmashauri ya Mji Nzega imepata jumla ya Tshs 500,000,000 kwajili ya uendelazaji wa ujenzi wa Kituo cha Afya Zogolo.Ujenzi huu utaanza hivi karibuni kwani mafundi wameshajaza mikataba tayari kwa ujen...
Tarehe Iliyowekwa: August 30th, 2017
Idara ya Maendeleo ya Jamii imeendasha mafunzo ya Ujasiriamali kwa Wajasiriamali katika ukumbi wa Community Centre .Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo Wajasiriamali ili waweze kuendesha s...